EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Asante mkuu nimeamka na wenge la janaNa imani leo ni jumapili na si jumamosi kama ulivyoandika.
Bei ya mbuzi kwa wastani huko mnadani ina range wapi boss.
Karibu mkuu kuna minyama kama yoooote ni KIBAMBA CHAMA mbele ya Mbezi Mwisho kama unatokea mjini au mbele ya Mail Moja kama unatokea MoroTunaomba connection
Kila la heri,huko mbali ngoja nijilie vya huku kaskaziniKaribu mkuu kuna minyama kama yoooote ni KIBAMBA CHAMA mbele ya Mbezi Mwisho kama unatokea mjini au mbele ya Mail Moja kama unatokea Moro
Hamna noma karibu siku nyingineKila la heri,huko mbali ngoja nijilie vya huku kaskazini
Maelekezo chama sehemu gani mkuu? Kama natokea mbeziHamna noma karibu siku nyingine
Mkuu njoo leo ndio upime upi mnada mzuri[emoji238][emoji238][emoji238]Mnada mzuri alhamis vigwaza ,naona kwa kua ukubwa wa eneo pia unachangia,unakula nyama na bia safi kabisa bila kulewa
Chama au CCM karibu na Daraja la JuuKibamba sehemu gani?
Ukitoka Mbezi ukavuka daraja Chini baada ya Kibamba kwa Mangi, kuna kituo kinaitwa Chama upande wa kulia kama unatoka MbeziMaelekezo chama sehemu gani mkuu? Kama natokea mbezi
Mama Hashimu akifungua banda lake nishtue mkuu.Ukitoka Mbezi ukavuka daraja Chini baada ya Kibamba kwa Mangi, kuna kituo kinaitwa Chama upande wa kulia kama unatoka Mbezi
Kituoni utaona maraja la Juu la kwenda Mloganzila Hospital
Kwani anakopesha??[emoji848][emoji848] Why yeye njoo nielekeze mchomaji mmoja matata saana bia zinafanana tuMama Hashimu akifungua banda lake nishtue mkuu.
Njoo Kuna Bar inaitwa Panama [emoji201][emoji200] IpoMnada ambao hauuzi nyama ya kitimoto ni mnada fake.
Ujirani unaniokoa, hata nikipigika huwa nabembea kwa furaha nikitaka.Kwani anakopesha??[emoji848][emoji848] Why yeye njoo nielekeze mchomaji mmoja matata saana bia zinafanana tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] karibu jamaaUjirani unaniokoa, hata nikipigika huwa nabembea kwa furaha nikitaka.