Leo Jumapili tarehe 13.06.2021 karibuni Mnadani Kibamba Chama

Upo mkuu kama kawa ukija nistue nikuoneshe mchomaji mmoja matata, don't worry hutaniona ila ntakupa maelekezo yote
Interesting, Mimi ni mdau wa nyama ya mbuzi, Sema nipo kinondoni huku...

Bei ya mbuzi mzima Ina range kwenye ngapi mzee?
 
Keshoo nakuja kwaajili ya nyama tu japo sijawahi kuja hiyo sehemu hapo Panama Napafahamu sana. Maeneo ya Nyumbn ila nimepasusa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…