EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Leo nikuja kikazi Dom, kamji kameDEMKA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] viwanja ni vipya hadi nashaangaa japo nlitoka huku 2015 and neva came back hapa nashangaa maviwanja kama yooote.
Nliachaga
Kwa Matei
Dodoma carnival
Capetown
Master Pub
4 ways
Magereza
Polisi
Chako ni chako
Enugu
Wings pub
African Dreams
Royal Village
Kumbi kama
CLUB LAAZIZI
84
NK
na mwingine nausahau jina upo karibu na MASTEPUB
Ila saivi duh napashangaa saana wiki2 hizi hapa Dom nahisi napajua vyakutosha. Wakulungwa mpo wapi popote ulipo leta tujuze na uendelee kutupa updates ya matukio yableo hadi saa 2.00
Twendeni kazi
Saivi naripot tokea LIZZY PUB japo soon nahama kijiwe