Sio cha kumsifia wala kumlaumuWakati wa Malinzi mbna hamkusema?? Na kaishia lupango huko.
Mimi siongelei suala la kuhudhuria popote anaongelea haiba na uwezo wake kiakiliKwani Karia amewahi kuhudhuria YANGA DAY wakati akiwa rais wa TFF?
Sasa mkuu mbona ulishajibu mwenyewe Kama hakualikwa ulitaka ajipeleke kingne nyie mumepeleka mwana siasa kinana kwenye shughuli sisi tumeleta mtu wa mpira mnalalamika Nini Sasa hapo???Kwa bahati nzuri Mungu alinijalia kuipenda soka bila mahaba ya timu za Kariakoo. Utashangaa nimewezaje lakini kwangu halikuwa Jambo kubwa kuamua zaidi ya kuupenda mpira wa miguu na kuufuatlia katika Nyanja nyingine ya Uamzi.
Leo ni Tamasha kubwa la timu ya Simba (S. S. C DAY) linaloazimishwa August 8 Kila mwaka Tangu mwaka 2009. Ni Tamasha kubwa linalovuta hisia si Kwa wapenzi na mashabiki wa Simba pekee bali wa vilabu vyote ndani na nje ya Tanzania Kwa jinsi linavyovuta hisia za Soka.
Tarehe 6/08/2022 siku mbili tu zilizopita Yanga walikuwa na Tamasha kubwa kama hili pale pale Uwanja wa Mkapa Temeke Dar es salaam. Mgeni rasmi katika tukio Lao alikuwa Kinana Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa. Mbali ya ukubwa wa Tamasha lile na umuhimu wa timu hiyo kama ilivyo Kwa Simba kuhusu soka la nchi hii, Viongozi wote wa juu wa TFF hususan Karia Kwa upekee kabisa hawakufika, hawakuhudhuria.
Leo Simba Wana tukio kubwa na naambiwa mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Patrice Motsepe, Rais wa CAF ambaye yuko njiani kuelekea Arusha kuhudhiria Mkutano wa Mwaka wa CAF unaoanza Jumatano 10/08/2022.
Kuwepo Kwa Motsepe kwenye Tamasha Hilo kunamlazimisha Kwa njia moja au nyingine Karia naye kuwa karibu na bosi wake. Hii itajenga picha gani hasa Kwa mashabiki watafuta sababu? Karia ni Simba ndo maana hakuhudhuria Tamasha la Yanga.
Ukiwa kiongozi huwezi kukosa upande, lakini mara nyingi Karia umekuwa ukichanga vibaya karata zako na naamini ipo siku utalamba Galasa.
Ila msiseme Hakuna aliyeliona hili.Na juzi alishatoa sababu kabla ya tamasha la yanga alipohojiwa TBC alisema wanaandaa mapokezi ya wageni arusha kwa ajili ya mkutano ila mshazoea kulalamika mlitaka mpaka kwenda ikulu kwa mama samia hamuwezi kuwa na akili.
Wakati wa Malinzi, mbna yeye ndo aliweka wazi kabisa, ktk kipindi chake Yanga itatwaa ubingwa tyuuh. Na sio team ingine.Sio cha kumsifia wala kumlaumu
Hamfikii malinzi, jizi na jambazi liloishia lupango huko, linaongozwa na nyapara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wallace ni rais mjinga sana.
Ukweli gani bhanaaa?? Ukweli tunauona wenyewee bila hata kuambiwa na watu wengine.Nadhani ipo siku mtatuelewa wasema kweli.
Leodgar Chilla Tenga wasKwa .uonekano tu Karia ni mshamba na hajitambui hiyo nafasi ya rais wa tff aliipataje mara 2 mfululizo?
Ninamiss uongozi makini wa Leonard Tenga.
Karia ni mharo tu tukiweka ushabiji pembeni
Hoja yangu na yako hazina uhusiano.Wakati wa Malinzi, mbna yeye ndo aliweka wazi kabisa, ktk kipindi chake Yanga itatwaa ubingwa tyuuh. Na sio team ingine.
Tulitulia sanaaaa.
Tena hakuna mtu alikua mbaya na mwenye roho mbaya Kama Malinzi ,Yule Bora afiege huko huko ni mbwaa yuleWakati wa Malinzi mbna hamkusema?? Na kaishia lupango huko.
Sasa wewe unaona Yanga wana akili mtu kama Hersi kumkumbatia Haji Manara aliyezuiwa asijihusishe na soka ni mwanzo mbaya kwa uongozi wake!Kwa bahati nzuri Mungu alinijalia kuipenda soka bila mahaba ya timu za Kariakoo. Utashangaa nimewezaje lakini kwangu halikuwa Jambo kubwa kuamua zaidi ya kuupenda mpira wa miguu na kuufuatlia katika Nyanja nyingine ya Uamzi.
Leo ni Tamasha kubwa la timu ya Simba (S. S. C DAY) linaloazimishwa August 8 Kila mwaka Tangu mwaka 2009. Ni Tamasha kubwa linalovuta hisia si Kwa wapenzi na mashabiki wa Simba pekee bali wa vilabu vyote ndani na nje ya Tanzania Kwa jinsi linavyovuta hisia za Soka.
Tarehe 6/08/2022 siku mbili tu zilizopita Yanga walikuwa na Tamasha kubwa kama hili pale pale Uwanja wa Mkapa Temeke Dar es salaam. Mgeni rasmi katika tukio Lao alikuwa Kinana Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa. Mbali ya ukubwa wa Tamasha lile na umuhimu wa timu hiyo kama ilivyo Kwa Simba kuhusu soka la nchi hii, Viongozi wote wa juu wa TFF hususan Karia Kwa upekee kabisa hawakufika, hawakuhudhuria.
Leo Simba Wana tukio kubwa na naambiwa mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Patrice Motsepe, Rais wa CAF ambaye yuko njiani kuelekea Arusha kuhudhiria Mkutano wa Mwaka wa CAF unaoanza Jumatano 10/08/2022.
Kuwepo Kwa Motsepe kwenye Tamasha Hilo kunamlazimisha Kwa njia moja au nyingine Karia naye kuwa karibu na bosi wake. Hii itajenga picha gani hasa Kwa mashabiki watafuta sababu? Karia ni Simba ndo maana hakuhudhuria Tamasha la Yanga.
Ukiwa kiongozi huwezi kukosa upande, lakini mara nyingi Karia umekuwa ukichanga vibaya karata zako na naamini ipo siku utalamba Galasa.
Sasa wewe unaona Yanga wana akili mtu kama Hersi kumkumbatia na kumruhusu Haji Manara aliyezuiwa asijihusishe na soka na TFF kwa miaka miwili ni mwanzo mbaya kwa uongozi wake! Siku ambayo Karia alihudhuria na mitusi alimwagiwa tena na msemaji wa Yanga! level yenu ya uelewa ni ndogo sana wana Yanga!Kwa bahati nzuri Mungu alinijalia kuipenda soka bila mahaba ya timu za Kariakoo. Utashangaa nimewezaje lakini kwangu halikuwa Jambo kubwa kuamua zaidi ya kuupenda mpira wa miguu na kuufuatlia katika Nyanja nyingine ya Uamzi.