Leo Karia una mtihani lakini Mambo mengine unajitakia

Leo Karia una mtihani lakini Mambo mengine unajitakia

Mlitaka aje kwenye tamasha lenu mmwagie mitusi tena??
 
Huo uSimba na uYanga mwenzio sina na sikubahatika. Ukiangalia Kwa jicho jepesi utaona ni Jambo dogo lakini kama kweli Karia atakwenda uwanjani Leo, nawajua Watanzania Kwa kelele, labda asije Aug.13.
Naomba mgeni rasmi awe mwingine ili hili Jambo lisitokee.
Kuna vitu vinachekesha sana yaani..!

Huyu Karia unayemsema leo kuwa anakwenda hovyo, watu walisema kitambo na kwenye Uzi fulani baada ya kuingia ule mkataba na GSM

Nikasema kuwa Karia amekuwa wa hovyo sana na very corrupt, nikifikiria ule mkataba wa GSM nashindwa kumelewa.

Wewe Bila Bila ukaanza kunilaumu sana, eti nina maoni hasi na kuona hatuitakii mema Yanga na GSM.

Kwahivyo hata kama hakutokea kwenye Tamasha lakini acha awanyooshe vilivyo ili akili ziwakae sawa yaani.
 
Back
Top Bottom