Leo katika historia Tanganyika

Hivi mpaka leo unaamini tuna muungano?
 
Mi nilikua sijazaliwa...

...Ni Hayo Tu!
 
Bora umeleta hii mkuu,nadhani tutawaliwe tena kwa mara nyingine na hawa Germany actively.
 
Na Zanzibar watarudishiwa ukanda wao wa Pwani kutoka Mombasa Kenya mpaka mpakani na Msumbiji ? Yaani miji ya Tanga, Dar na Mtwara itarudi Zanzibar.
 
Hiyo ni miji ya Tanganyika
 
Na Zanzibar watarudishiwa ukanda wao wa Pwani kutoka Mombasa Kenya mpaka mpakani na Msumbiji ? Yaani miji ya Tanga, Dar na Mtwara itarudi Zanzibar.
Tanga, Dar na Mtwara ilikuwa ya Tanganyika tokea enzi za Mjerumani. Hata ikulu ya Dar Es Salaam ilijengwa na Mjerumani.

Na mipango miji ya jiji la Tanga iliwekwa na Mjerumani.
 
Na mpango mji wa Tanga uliwekwa na Mjerumani.
Kabla ya mjerumani dola ya
Tanga, Dar na Mtwara ilikuwa ya Tanganyika tokea enzi za Mjerumani. Hata ikulu ya Dar Es Salaam ilijengwa na Mjerumani.

Na mpango mji wa Tanga uliwekwa na Mjerumani.
Tunazungumza Zanzibar kabla ya mjerumani. Pia kumbuka Tanganyika imeanzishwa na muingereza.
Enzi za mjerumani hapakuwepo kitu kinaitwa Tanganyika bali palikuwepo Afrika mashariki ya ujerumani ambayo mipaka yake ilikuwa ni eneo lote la Tanzania bara ya sasa pamoja na Rwanda na Burundi .
Zanzibar imekuwepo kabla ya Tanganyika na mipaka ya Zanzibar ilikuwa inaanzia pwani ya kusini mwa Somalia , maeneo ya Mombasa, Tanga, Dar es Salaam,Lindi ,Mtwara na pwani ya kaskazini ya msumbiji , maeneo yote hayo kabla ya 1885 yalikuwa yakiitwa dola ya Zanzibar.
 
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Tanga, Dar na Mtwara ilikuwa ya Tanganyika tokea enzi za Mjerumani. Hata ikulu ya Dar Es Salaam ilijengwa na Mjerumani.

Na mipango miji ya jiji la Tanga iliwekwa na Mjerumani.
Tanganyika imeanzishwa na muingereza.
Wakati wa mjerumani hapakuwa na nchi inaitwa Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ