Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mpaka leo unaamini tuna muungano?Bila shaka Tanganyika (Afrika mashariki ya ujerumani )uliyoileta kwenye mada haiwezi kurudi! Kwa sababu italazimika kuyafuta mataifa ya Rwanda na Burundi na sehemu ya nchi ya Mosambique kama ulivyotaja na hilo siyo rahisi kutokea.
Majadiliano yakienda vizuri yawezekana kurudisha Tanganyika ya mwingereza hadi kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na hilo litawezekana endapo tutakuwa tayari kuvunja muungano kila upande uangalie mambo yake au tukubali muungano wa serikali tatu.
Tuombe uwe ni mwisho mwema wa Amani na wenye tija. Isijekuwa kama huko Congo DRC, Sudan n.k.😭😭😭yana mwisho na hauko mbaliView attachment 3188826
Mi nilikua sijazaliwa...Hii ndio ilikuwa Bendera yetu, na katikati ya Bendera ni Ngao ya Jamii (Coat of Arms) ya Nchi yetu enzi tunaitwa Deutsch-Ostafrika (Ujerumani ya Afrika Mashariki) miaka ya 1885 mpaka 1918.
Wakati huo nchi ilikuwa na eneo la Mita Square 994,996 Km² ndani yake kuna Burundi na Rwanda, na Eneo la Nchi ya Msumbiji lililoitwa Kionga Triangle.
Je wajua neno la Kiswahili "Shule" limetoka kwenye Neno la Kijerumani "Schule" yote yakimaanisha "School".
Maeneo mengine yaliitwa hivi:
• Rombo iliitwa Fischerstadt
• Nyakanazi iliitwa Friedberg
• Kisarawe iliitwa Hoffnungshöh
• Tukuyu iliitwa Langenburg
• Ushetu iliitwa Marienthal
• Shume (huko kwa Wapare wambugu) kuliitwa Neu-Hornow
• Mbulu kuliitwa Neu-Trier
• Sekenke paliitwa Sachsenwald na ilikua ni Mgodi.
• Lushoto iliitwa Wilhelmsdorf.
Kipindi hiki ndio tulijengewa Reli iliyoitwa Usambara Railway mwaka 1891 ilijengwa na Wajerumani na ilikuwa na Km 350, ilianzia Mjini Tanga, ikawa na makutano na Kenya Mji wa Kahe, ikapita Moshi mpaka Arusha.
Wajerumani katika Reli hii walikuwa na vichwa vya Treni 18 (Locomotive) na mabehewa 199, kipindi hicho Reli hii ilikuwa na wafanyakazi 562 huku kati yao 35 tu ndio walikuwa Wajerumani.
Lengo la Wajerumani kujenga Reli hii ilikuwa ni kuunganisha Bandari ya Tanga na Ziwa Victoria kupitia milima ya Usambara.
Treni la kwanza lilipita likiwa tupu tarehe 26 September 1911 ili kujaribu safari na kufanikiwa 100%, likapita tena likiwa na Abiria tarehe 4 October 1911 na kufanikiwa 100% Wajerumani wakaamini kweli kitu ni Konki.
Hivyo ukafanyika uzinduzi wa Reli tarehe 7 February 1912, na baada ya hapo Treni lilikuwa lazima lifanye safari kila siku kutoka Tanga mpaka Buiko na Kurudi, safari ilichukua muda wa masaa 14 na dakika 40.
Reli hii haikukamilika mpaka Arusha sababu ya Vita ya kwanza ya Dunia, Waingereza ndio Wakaiunganisha.
#Kutoka_MaktabaView attachment 3188252
Waw! Kumbe sasa kwa mada hii, umebahatika kuijua Historia ya nchi yetu. Mpe Mshana Jr. maua yake basi.Mi nilikua sijazaliwa...
...Ni Hayo Tu!
Bora umeleta hii mkuu,nadhani tutawaliwe tena kwa mara nyingine na hawa Germany actively.Hii ndio ilikuwa Bendera yetu, na katikati ya Bendera ni Ngao ya Jamii (Coat of Arms) ya Nchi yetu enzi tunaitwa Deutsch-Ostafrika (Ujerumani ya Afrika Mashariki) miaka ya 1885 mpaka 1918.
Wakati huo nchi ilikuwa na eneo la Mita Square 994,996 Km² ndani yake kuna Burundi na Rwanda, na Eneo la Nchi ya Msumbiji lililoitwa Kionga Triangle.
Je wajua neno la Kiswahili "Shule" limetoka kwenye Neno la Kijerumani "Schule" yote yakimaanisha "School".
Maeneo mengine yaliitwa hivi:
• Rombo iliitwa Fischerstadt
• Nyakanazi iliitwa Friedberg
• Kisarawe iliitwa Hoffnungshöh
• Tukuyu iliitwa Langenburg
• Ushetu iliitwa Marienthal
• Shume (huko kwa Wapare wambugu) kuliitwa Neu-Hornow
• Mbulu kuliitwa Neu-Trier
• Sekenke paliitwa Sachsenwald na ilikua ni Mgodi.
• Lushoto iliitwa Wilhelmsdorf.
Kipindi hiki ndio tulijengewa Reli iliyoitwa Usambara Railway mwaka 1891 ilijengwa na Wajerumani na ilikuwa na Km 350, ilianzia Mjini Tanga, ikawa na makutano na Kenya Mji wa Kahe, ikapita Moshi mpaka Arusha.
Wajerumani katika Reli hii walikuwa na vichwa vya Treni 18 (Locomotive) na mabehewa 199, kipindi hicho Reli hii ilikuwa na wafanyakazi 562 huku kati yao 35 tu ndio walikuwa Wajerumani.
Lengo la Wajerumani kujenga Reli hii ilikuwa ni kuunganisha Bandari ya Tanga na Ziwa Victoria kupitia milima ya Usambara.
Treni la kwanza lilipita likiwa tupu tarehe 26 September 1911 ili kujaribu safari na kufanikiwa 100%, likapita tena likiwa na Abiria tarehe 4 October 1911 na kufanikiwa 100% Wajerumani wakaamini kweli kitu ni Konki.
Hivyo ukafanyika uzinduzi wa Reli tarehe 7 February 1912, na baada ya hapo Treni lilikuwa lazima lifanye safari kila siku kutoka Tanga mpaka Buiko na Kurudi, safari ilichukua muda wa masaa 14 na dakika 40.
Reli hii haikukamilika mpaka Arusha sababu ya Vita ya kwanza ya Dunia, Waingereza ndio Wakaiunganisha.
#Kutoka_MaktabaView attachment 3188252
Kimiundombinu tungelikuwa imara zaidi ya tulivyo sasa.Tanganyika chini ya mjerumani ingekuwaje leo?
Ngoja nikachume...Waw! Kumbe sasa kwa mada hii, umebahatika kuijua Historia ya nchi yetu. Mpe Mshana Jr. maua yake basi.
Ingefanana na Ujerumani!Tanganyika chini ya mjerumani ingekuwaje leo?
Kama hatuna muungano basi Tanganyika tunayo au vipi?!Hivi mpaka leo unaamini tuna muungano?
Tanga, Dar na Mtwara ilikuwa ya Tanganyika tokea enzi za Mjerumani. Hata ikulu ya Dar Es Salaam ilijengwa na Mjerumani.Na Zanzibar watarudishiwa ukanda wao wa Pwani kutoka Mombasa Kenya mpaka mpakani na Msumbiji ? Yaani miji ya Tanga, Dar na Mtwara itarudi Zanzibar.
Kabla ya mjerumani dola yaTanga, Dar na Mtwara ilikuwa ya Tanganyika tokea enzi za Mjerumani. Hata ikulu ya Dar Es Salaam ilijengwa na Mjerumani.
Na mpango mji wa Tanga uliwekwa na Mjerumani.
Tunazungumza Zanzibar kabla ya mjerumani. Pia kumbuka Tanganyika imeanzishwa na muingereza.Tanga, Dar na Mtwara ilikuwa ya Tanganyika tokea enzi za Mjerumani. Hata ikulu ya Dar Es Salaam ilijengwa na Mjerumani.
Na mpango mji wa Tanga uliwekwa na Mjerumani.
🙏🙏🙏Kabla ya mjerumani dola ya
Tunazungumza Zanzibar kabla ya mjerumani. Pia kumbuka Tanganyika imeanzishwa na muingereza.
Enzi za mjerumani hapakuwepo kitu kinaitwa Tanganyika bali palikuwepo Afrika mashariki ya ujerumani ambayo mipaka yake ilikuwa ni eneo lote la Tanzania bara ya sasa pamoja na Rwanda na Burundi .
Zanzibar imekuwepo kabla ya Tanganyika na mipaka ya Zanzibar ilikuwa inaanzia pwani ya kusini mwa Somalia , maeneo ya Mombasa, Tanga, Dar es Salaam,Lindi ,Mtwara na pwani ya kaskazini ya msumbiji , maeneo yote hayo kabla ya 1885 yalikuwa yakiitwa dola ya Zanzibar.
Tanganyika imeanzishwa na muingereza.Tanga, Dar na Mtwara ilikuwa ya Tanganyika tokea enzi za Mjerumani. Hata ikulu ya Dar Es Salaam ilijengwa na Mjerumani.
Na mipango miji ya jiji la Tanga iliwekwa na Mjerumani.