Leo katika historia.

Leo katika historia.

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,326
Tarehe ya leo Simba alimfunga 2 - 1 Yanga na mashabiki wa simba wakang'oa viti, baada ya kuona na kuhisi mwaamuzi, anafanya Upendeleo kwa yanga, magoli ya simba siku hiyo yalifungwa na Laudit Mavugo na Shiza Kichuya, lile la yanga lilifungwa na mzambia Chirwa.
 
Safi kwa ukumbusho....mkuu ikifika ile tarehe ya Simba alipompiga Yanga kipicha cha paka mwizi cha
1.Simba 6...Yanga 0
2.Simba 5...Yanga 0
Naomba utukumbushe mkuu...
 
Back
Top Bottom