Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Tarehe ya leo Simba alimfunga 2 - 1 Yanga na mashabiki wa simba wakang'oa viti, baada ya kuona na kuhisi mwaamuzi, anafanya Upendeleo kwa yanga, magoli ya simba siku hiyo yalifungwa na Laudit Mavugo na Shiza Kichuya, lile la yanga lilifungwa na mzambia Chirwa.