Leo katika historia

Leo katika historia

Mandown

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
1,665
Reaction score
507
6/03/1997 Waziri Mkuu Fredrick Sumaye aagiza jeshi la polisi jinini kukamata na kuwagungulia mashitaka watu wanao mwagilia bustani mboga kwa kutumia maji ya bomba!

source: Mwananchi 06/03/2013 pg 7

Kumbe hii ndio ilikuwa "strategy" ya kukomesha tatizo la maji JIJINI....!!! John Mnyika upo
 
Last edited by a moderator:
kuna bustani dar es salaam; ukosefu wa maarifa

Enzi hizo zilikuwepo mkuu, kule mji Mwema karibu na Aboud Jumbe, Kimbiji na hata huku kwenye majengo mapya, kule mbele ya uwanja wa ndege kule, nasahau jina lake, mabasi pekee yalikuaga Uda tu, so ukipishana nalo itabidi usubiri kama saa 1 hv.

Well, pia sikubaliani na hiyo solution ya tatizo la maji alioitoa X-PM, kwakufanya hivyo alitaka watu watumie maji ya chemba?

Mh, kama pia nakumbuka vizuri, enzi hizo Typhoid Dar ilikua nje nje, may be hili nalo lilikua ni miongoni mwa chanzo.
 
Nadhani lengo lake lilikuwa watu wamwagilie mboga maji ya mifereji, na yale machafu kama MTO MSIMBAZI
 
Back
Top Bottom