Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Waliosimama kuanzia kushotoWaliosimama hujasema wanaanzia upande upi kushoto ama kulia!!?
Daud Salum na Ibrahim Malekano nilisoma nao. Daud Salum alikuwa mbele yangu mdarasa matano, yaani nikiwa form 1 yeye alikuwa form 5.Marehemu Thobias Nkoma,Shaban Mussa,Marehemu Mussa marehemu kihwelo.
.
Isihaka Mwitu,Marehemu Adamu Sab, Daudi Salum,Twaha Hamidu na marehemu Ibrahim Malekano....
Unamaanisha ulisoma na Daudi Salum "Bruce Lee"?Daud Salum na Ibrahim Malekano nilisoma nao. Daud Salum alikuwa mbele yangu mdarasa matano, yaani nikiwa form 1 yeye alikuwa form 5. Yeye tulikuwa naye shule moja Tabora School. Ibrahim Malekano alikuwa Kazima akiwa mbele yangu madarasa mawili, yaani nikiwa form 1 yeye alikuwa Form 3; alikuwa darasa moja na mchezaji mwingine Marsha aliyejiunga na Yanga. Mola wetu aiweke pema peoponi roho ya marehemu Malekano.
Hongera mkuu,we kweli mhenga,maana Daudi Salum nilikutana nae sehemu flani wakati naanza kazi miaka kadhaa iliyopita akiwa ofisa kipenyo.Daud Salum na Ibrahim Malekano nilisoma nao. Daud Salum alikuwa mbele yangu mdarasa matano, yaani nikiwa form 1 yeye alikuwa form 5.
Yeye tulikuwa naye shule moja Tabora School. Ibrahim Malekano alikuwa Kazima akiwa mbele yangu madarasa mawili, yaani nikiwa form 1 yeye alikuwa Form 3;
Alikuwa darasa moja na mchezaji mwingine Marsha aliyejiunga na Yanga. Mola wetu aiweke pema peoponi roho ya marehemu Malekano.
Ndiyo; alikuwa mbele yangu sana kwani mimi nikiwa Form 1 yeye alikuwa Form 5, lakini tulisoma naye shule moja.Unamaanisha ulisoma na Daudi Salum "Bruce Lee"?