fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Tarehe kama ya leo (16 Januari, 2024) klabu ya Simba ilifanikiwa kupata saini ya miaka miwili ya mshambuliaji Pa Omar Jobe raia wa Gambia akitokea klabu ya FC Zhenis inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kazakhstan ambapo baadae alivunjiwa mkataba baada ya kushindwa kufikia matarajio ya wengi.