Leo kelele za bahasha hakuna

Leo kelele za bahasha hakuna

The Wing

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,135
Reaction score
1,828
Moja kwa moja niulize, Simba leo mbona hamlii na bahasha za Yanga?

Imekuwa kawaida msimu mzima kila Yanga akishinda mnasema katoa hongo, vipi wazee baada ya kipigo mna la kusema?

Mje mseme hapa GSM kawapa bei gani.

7-2
 
Tunajua tatizo ni nini!
Tatizo ni viongozi. Bahasha zipo sana.Hivi unajua kwa nini Inonga alitoka?Unadhani kwa nini huwa anacheza chini ya kiwango akicheza na yanga?Mipango ipo sana.Lakini sisi tunalia na uongozi kwa nini waruhusu timu iingilike kizembe kizembe?
Ubingwa wa yanga ni mipango licha ya wao kuwa bora lakini hawajaacha kutumia bahasha.
 
Rage hakukosea pale alipowaita mbumbumbu. Maana wao kazi yao ni kulalamika tu.
 
Back
Top Bottom