Leo kelele za bahasha hakuna

Leo kelele za bahasha hakuna

Lo
Tunajua tatizo ni nini!
Tatizo ni viongozi. Bahasha zipo sana.Hivi unajua kwa nini Inonga alitoka?Unadhani kwa nini huwa anacheza chini ya kiwango akicheza na yanga?Mipango ipo sana.Lakini sisi tunalia na uongozi kwa nini waruhusu timu iingilike kizembe kizembe?
Ubingwa wa yanga ni mipango licha ya wao kuwa bora lakini hawajaacha kutumia bahasha.
Kwaiyo Lomalisa alihongwa
Mchezaji kuumia na kushinwa kuendelea na mchezo ni jambo la kawaida
Mbumbumbu mna shida gani?
 
Tunajua tatizo ni nini!
Tatizo ni viongozi. Bahasha zipo sana.Hivi unajua kwa nini Inonga alitoka?Unadhani kwa nini huwa anacheza chini ya kiwango akicheza na yanga?Mipango ipo sana.Lakini sisi tunalia na uongozi kwa nini waruhusu timu iingilike kizembe kizembe?
Ubingwa wa yanga ni mipango licha ya wao kuwa bora lakini hawajaacha kutumia bahasha.
Kwa aina hii ya mashabiki na wanachama mangungu awe mwenyekiti wa kudumu tu
 
Back
Top Bottom