Tunajua tatizo ni nini!
Tatizo ni viongozi. Bahasha zipo sana.Hivi unajua kwa nini Inonga alitoka?Unadhani kwa nini huwa anacheza chini ya kiwango akicheza na yanga?Mipango ipo sana.Lakini sisi tunalia na uongozi kwa nini waruhusu timu iingilike kizembe kizembe?
Ubingwa wa yanga ni mipango licha ya wao kuwa bora lakini hawajaacha kutumia bahasha.