Leo kidogo nikamatike na Wife kwa uongo wa kizembe kabisa

mkuu piga konyagi kubwa kabisa ukifika home uwe top top..hamna discussion asubuhi mpige miti ya hatari..kesi hamna
 
Sijui kwa nin Akili Yangu inazidi kupingana na huu ujinga anaotuaminisha huyu jamaa.
 
Tutafute hela wanaume wenzangu,tuache kutegemea hela za wake zetu.... Ni aibu kuu mwanaume kumuogopa mke wake kwa viwango vya aina ya mleta mada.
 
Inaonekana wewe ni tapeli. Au unatabia isiyofaa
 
Kwaiyo kitengo cha ubaaria umekugarimu 500K,acha icho kitengo mkuu maana moja ya sifa za baaria ni kuzikwepa loss

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…