Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Alikua hanifikishi,nikamweleza ukweli tuakaachana,kuliko kumcheat ni bora tuachane kwa amani. Hadi Leo ni rafiki yangu sana, japo najua siri yake ana kibamia kama cha mtoto.
Kibamia huo ukweli usingesaidia kitu
 
Una roho mbaya!
 
nilijisikia tu kumwacha.... tulifanana umri nikaona huyu nisipoangalia ntaoa halaf uzeen tuanze kusumbuana!!!!
Duh, mimi binti alinizidi miaka miwili a miezi sita, ki ukweli nilikuwa nampenda sana lakini sikuwa na jinsi ilibidi nimuache
 
[emoji2] CCM
 
Mimi binafsi alinisababishia nikapata supplimentary nne semester one... coz muda mwingi akinikuta nasoma anaanzisha ma touch yasiyo na ulazima mwisho wa siku najikuta nazima laptop nafunika madesa yangu then mchezo wa kwichi kwichi unafuatia....." kwa kweli baada ya matokeo kutoka sikuamini macho yangu nilikuwa nimeingiza course nzito zote... pale pale niliamua kumwacha na kuongeza juhudi katika masomo yangu coz yeye ndio nilihisi alikuwa mchawi wangu mkubwa...
 
mkuu,Hilo lilikua shankupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…