Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Nlikua sijajionyesha maisha yangu halisi kwake akanichukulia mtu poa sana na kuniacha
Baada ya kuachana kagundua anadai turudiane [emoji40][emoji40][emoji40]
kwamba,ulivunga huna mkwanja au?
 
na yeye alikua na supp ngapi muda huo?
 
Aliniambia kuwa sijawahi kumkosea hata kidogona anajua kuwa nampenda sana kuliko chochote ila ameamua kuwa na mwanamke anaempenda zaidi kuliko mimi....It was very painful to me but I had to accept the fact for the sake of his happiness.
so,maisha yakawaje baada ya hiyo situation?
 
Hiyo mbinu uliyotumia ni nzuri sana na nimeipenda.
 
na yeye alikua na supp ngapi muda huo?
yeye alipata moja tu ya afya" si unajua tena course zetu hizi mara biochemistry.. histology...anatomy... mambo yaliniendea vibaya sana sitaki kukumbuka kabisa 🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…