Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Nilimchoka nikamchunia mpaka leo tumechuniana miezi sasa. Sipendi kumuacha mtu kwa makelele maana siku nikimkumbuka nitamtafuta vzr tu.
 
Ile ng'ombe ilituma text nisimpigie wala nisitume text nikamuuliza kwa nn akasema ameamua tu kumbe ilikuwa anataka kuolewa ila akanificha kaenda kwenye ndoa miaka miwili na mtoto mmoja akarudi tena kunielezea visa vya mume wake anavyompiga nikamwambia vumilia yakamshinda akarudi kwao sasa karudisha mawasiliano mara nitumie picha zako mara nimekumis ila mimi sina habari naye tena yupo kwao analea mtoto.
 
Kuna mmoja nimekutana nae mwaka jana anaitwa jina Subi kwa kifupi au Subira demu mkali shape nzuri paja na tako vipovema ila shida moja ana ka harufu fulani kwenye uke wake ambayo ni kero kwangu hadi nikamuuliza hii harufu ninini hasemi nikalala nae mara mbili sababu tamaa ya nyeg** tu nikammwaga, akaishiakulalamika tu "Nilijua vijana tu ndio wanazingua kumbe hata wakubwa kama wewe" tunaonaa kitaa ila mzgo niliacha kitambo toka Desemba
 
Inafikirisha sana hii.
 
Mbona imekuwa ghafla Sana jamani.... Subiri kidogo basi tukumbuke.
 
N pm namba yake.
 
Yan u apendaga ile paah, paah, paaah,, paa[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Ilo ni tatizo kubwa sana, kwa wasichana wanataka wajione wasaidizi wa family. Kumbe wanatuletea stress kubwa ktk ndoa

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwa kweli ni wapuuzi mno, nashindwa kuwaelewa....wewe mtu unaamka unawaza kupiga mzinga wanaume kila kukicha ili usaidie jirani na ndugu zako. Ndiyo maana unakuta wanawake wengi sana wanabakia kuchezewa tu, hakuna mwanamme anayetaka mwanamke asiyejituma.
 
Nilikua simpi pesa akiwa na shida.ila sio kwa mara zote.but hii yote ilitokana na changamoto ya kutokua na pesa kipindi hicho.
 
Sijawahi achana na ex, wote wapogo, na wote ni wangu mpaka leo japokuwa wameolewa huko waliko!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndo ile kauliwa wanaume wote mbwaaa
 
mwanamke fulani hivi maarufu sana katika kituo cha redio fulani...hakuridhika na jamii yangu..mara nduguyo ni mwebamba mara bibiyo amezeeka sana mara binamu zako hivi..ikawa vigumu kumvumilia nikampotezea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa bibi anamuhusu nin tenaq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…