Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishi Dar mitaa gani?Nipo kitandani, nashangaa desktop inawashwa, kwenye meza hakuna mtu. Wala hakuna paka labda kusema kaminya sehemu. Hii si balaa?
AnaogopaAmka ukaizime
🤣🤣🤣Anaogopa
Bora nisiwaoni tu hao mizimuKuna mtu/mzimu anataka kuitumia kukupa ujumbe baada ya mahangaiko ya muda mrefu. Wewe endelea kulala. Ukiamka asubuhi ikague uone kama kuna mahali popote penye ujumbe au kitu kipya. Ukokosa ilete kwangu, nina utaalamu wa kuona mambo ya ulimwengu wa huko tusipopaona kwa macho ya nyama.