GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ngoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili kwa Mbwembwe, nimeweka Kambi kwa Farao na tayari naongoza ligi na natamba kabisa huku wanaojua na wenye Kombe lao wakiwa busy Kwanza huko 'Umataifani' na hawajaanza kuzichukua Alama ( Points ) zao na wawe Mabingwa tena.