GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwamba kumbe wewe ni Mwananchi? Kamwene...Tumsifu Yesu Kristu...bismillahir rahmanir rahim asalaam alaikum warahmatulillah wabarakatuh! Uende peponi!Ngoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili kwa Mbwembwe, nimeweka Kambi kwa Farao na tayari naongoza ligi na natamba kabisa huku wanaojua na wenye Kombe lao wakiwa busy Kwanza huko 'Umataifani' na hawajaanza kuzichukua Alama ( Points ) zao na wawe Mabingwa tena.
I like your situational analysisNgoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili kwa Mbwembwe, nimeweka Kambi kwa Farao na tayari naongoza ligi na natamba kabisa huku wanaojua na wenye Kombe lao wakiwa busy Kwanza huko 'Umataifani' na hawajaanza kuzichukua Alama ( Points ) zao na wawe Mabingwa tena.
Usajiri 7 billion, mmetisha sanaNgoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili kwa Mbwembwe, nimeweka Kambi kwa Farao na tayari naongoza ligi na natamba kabisa huku wanaojua na wenye Kombe lao wakiwa busy Kwanza huko 'Umataifani' na hawajaanza kuzichukua Alama ( Points ) zao na wawe Mabingwa tena.
Thank you so much Chief for the Credit.I like your situational analysis
Baelezeage hao.Kama ile mochuwari iliyolipuliwa tarehe 5 November 2023, Kwa Mkapa