Leo kuna kila dalili kuna watu mkeka wao unaenda ku-tick

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
13,769
Reaction score
23,676
Hii Mvua hii inayoporomoka huku watu wanakimbizana kuna watu mkeka wao unaenda ku-tick.

Maana walisema kutakua na mvua na walikua wanasubiria inyeshe japo kidogo waseme si tuliwaambia sisi.

Simba 0-1 Yanga
Full Time
 
Yanga anashinda mbili bila dhidi ya Simba. Japo mm ni Simba lkn ndo hivyo tena
Full time yanga 2 Simba 0
 
Back
Top Bottom