AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Yanga anashinda mbili bila dhidi ya Simba. Japo mm ni Simba lkn ndo hivyo tenaHii Mvua hii inayoporomoka huku watu wanakimbizana kuna watu mkeka wao unaenda ku-tick.
Maana walisema kutakua na mvua na walikua wanasubiria inyeshe japo kidogo waseme si tuliwaambia sisi.
Simba 0-1 Yanga
Full Time
Naona upepo unavuma balaaYanga anashinda mbili bila dhidi ya Simba. Japo mm ni Simba lkn ndo hivyo tena
Full time yanga 2 Simba 0
Na ibaki kua hivyo mpaka mpira uisheSimba 0-1 Yanga
Full Time
Yanga anashinda 2 kwa timu ipi?Yanga anashinda mbili bila dhidi ya Simba. Japo mm ni Simba lkn ndo hivyo tena
Full time yanga 2 Simba 0
Endelea kunywa mtoriYanga anashinda 2 kwa timu ipi?
Mpira wenyewe wanabutua butua tuu.
Yanga sio bingwa.Endelea kunywa mtori
Mambo bingwa ama sio bingwa mm sijayasema nilichosema ni utabiri wanguYanga sio bingwa.
Baada ya dk 90 simba ataibuka kidedea.Mambo bingwa ama sio bingwa mm sijayasema nilichosema ni utabiri wangu