Leo kutatokea ' Nyuki ' wengi Uwanja wa Mkapa ( Taifa ) kuanzia Saa 5 asubuhi hadi Saa 1 jioni hivyo Watu wasiende hilo eneo kabisa

Leo kutatokea ' Nyuki ' wengi Uwanja wa Mkapa ( Taifa ) kuanzia Saa 5 asubuhi hadi Saa 1 jioni hivyo Watu wasiende hilo eneo kabisa

Usije kusema sijakuambia kwani hao Nyuki ni wale wa Kuja na Kasi ya Upepo kutoka Bahari ya Hindi ambao ni wakali sana na wanaweza Kukuachia Nundu nyingi Kichwani na hata Mwilini kwako. Hata hivyo Nyuki hao ikifika tu Saa 1 Usiku wataondoka hilo eneo na Kutokomea zao kabisa.
Njia pekee ya Kujikinga na hao Nyuki kwa mtakaokwenda Uwanjani hapo au eneo la Uwanja wa Mkapa ni Kuvalia ama Nguo za Rangi Nyeupe na Nyekundu tu ila Kitaalam hawa Nyuki wakikuona Umevalia Nguo zenye Rangi ya Kijani au Njano ndiyo utawapandisha Hasira na ' Watakung'ata ' vibaya mno na Kupelekea Kuvimba.
Na usije Ukajiroga leo hii uende Temeke huku sijui ukiwa umevalia Pensi ( Vinjunga ) kwani hawa Nyuki ndiyo wanaweza hata Kupenya hadi maeneo ' Hatarishi ' ya Mwili wa Binadamu na ambayo ni muhimu pia kwa Ujazaji wa hii dunia. Mtaalam mmoja wa hawa Nyuki wanaotembea na Kasi ya Upepo amesema kuwa kama kuna Kikundi cha Watu leo kinapanga Kutembelea maeneo ya Temeke basi njia pekee ya kuwaepuka hawa Nyuki ni Kuvalia tu hizo Nguo za Rangi Nyeupe au Nyekundu na si Njano au Kijani kwani Kiutaalam Nyuki anazichukia sana hizi rangi.
Akili za Kuambiwa changanya na zako!
nilikuwa nakuheshimu lakini nimegundua we ni mmoja kati ya wapumbavu kuwah kutokea JF

HUNA AKILI
 
nilikuwa nakuheshimu lakini nimegundua we ni mmoja kati ya wapumbavu kuwah kutokea JF

HUNA AKILI

Ila usisahau kuwa Wewe ndiyo Rais wa hayo Mapungufu yangu yote hivyo Siku ambayo utaacha kuwa ' Mpumbavu Mwandamizi ' nami nitabadilika.
 
Back
Top Bottom