Leo Magufuli hayupo madarakani, Wapinzani hawapo bungeni, Job Ndugai sio Spika tena na Prof. Asaad sio CAG tena

Wabunge wa upinzani kukosekana bungeni sio nature.
 
Hapa tulipigwa sana.
 
Kitengo kiliundwa akamatwe Ruge na singa singa na wakosoaji wengine
 
Ila Halima Mdee ni jembe kama binadamu naomba hekima zitumike kama GSM anavyo komboa nyumba ya Kinondoni Halima ni mateka wa Ndugai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…