Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamu ya mwanamke safarii hiiKama CHADEMA haikufa zama za mwendazake, basi, ni rasmi sasa kila atakayejaribu kuigusa CHADEMA ili ife, atakufa yeye.
Haha hahah umeeleweka vyemaZamu ya mwanamke safarii hii
Kweli bossBinadamu usijaribu kushindana na mda,siku zote tenda wema ingalau utakusaidia maishani,kwani Time will tell
Hapa tulipigwa sana.Mheshimiwa Spika, kinyume cha utaratibu huo, Wizara ya Fedha imevunja rekodi kwa kukiuka masharti ya ukomo wa bajeti uliowekwa, na kujipendelea kwa kujitengea fedha zaidi ya ukomo huo kwa mwaka wa fedha 2019/2020. Ushahidi wa kujipendelea unatokana na ukweli kwamba; katika mwaka wa fedha 2018/19, fungu 21- Hazina; lilitengewa shilingi bilioni 531 kwa ajili ya matumizi ya kawaida; lakini katika mwaka 2019/2020 wamejitengea shilingi trilioni moja (1) na bilioni 302 sawa na ongezeko la asilimia 245 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 771. Kwa upande wa fedha za maendeleo mwaka 2018/19 fungu 21 lilitengewa shilingi bilioni 12.6 lakini mwaka 2019/2020 limetengewa shilingi bilioni 806 ikiwa ni ongezeko la shilingi bilioni 793.4 sawa na asilimia 6,700 nje ya ukomo wa asilimia 1.9. Halikadhalika fungu 50 - Wizara ya Fedha bajeti yake imeongezeka kwazaidi ya asilimia 15 tofauti na ukomo uliowekwa wa asilimia 1.9.
Hakuna nature ya hivyoWabunge wa upinzani kukosekana bungeni sio nature.
Kitengo kiliundwa akamatwe Ruge na singa singa na wakosoaji wengine. Mheshimiwa Spika, kwa sababu ya udhaifu wa kitengo cha kudhibiti fedha haramu, kumekuwa na malalamiko mengi sana kwa wafanyabiashara kubambikiwa kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi; kwa kuwa jukumu hilo linafanywa na watu wasiojua sheria za fedha. Kwa sababu hiyo, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inaitaka Serikali kutoa maelezo mbele ya Bunge hili; kwamba mamlaka ya DPP kuingilia shughuli za ‘Financial Inteligence Unit’ ameyatoa kwenye sheria ipi ya fedha?Kambi Rasmi ya Upinzani inauliza swali hili kwa kuwa inaeleweka kwamba kazi ya DPP ni kumkamata na kumpeleka mahakamani mtuhumiwa aliyebainika na Kitengo hicho kuhusu masuala ya utakatishaji fedha na uhujumu uchumi, na sio kazi ya DPP kuwabaini watu hao kwa kuwa hana taaluma ya mifumo ya fedha.
BTW huyo Mdee somehow she was smart, ila sijui 'pepo gani' lilimpitia.....Ila Halima Mdee ni jembe kama binadamu naomba hekima zitumike kama GSM anavyo komboa nyumba ya Kinondoni Halima ni mateka wa Ndugai