zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
- #21
Mkuu na wwe ungeweza kujitoa kafari hivyo au una "mikwara ya andunje" tu 😀😛Bonge la andiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na wwe ungeweza kujitoa kafari hivyo au una "mikwara ya andunje" tu 😀😛Bonge la andiko
Mkuu zipo kibao ila kuziaccess ndio shida tofauti na nchi za wenzetu huwa zinaandikiwa mpaka vitabu sisi hapa nyingi ni hearsay hazina reference kabisa na ndio changamoto inaanzia hapo.Ahsante kwa hii kumbukumbu. Ina funzo kubwa ktk maisha yetu. Usisite kutuletea na za wanajeshi wetu Tanzania ikiwezekana.
Watu hatufanani mkuu sina mpango wa kuandika uzi wowote hapa Jf zaidi ya kukomentiMkuu na wwe ungeweza kujitoa kafari hivyo au una "mikwara ya andunje" tu 😀😛
Hahahhaa Mkuu hujanisoma, nlimaanisha je ungeweza kujitoa kafara vitani kama huyo mjeshi au unachoweza ni "mikwara" tu.Watu hatufanani mkuu sina mpango wa kuandika uzi wowote hapa Jf zaidi ya kukomenti
Pamoja sana mkuu kama umeng'amua kituHili ni fundisho kubwa sana kwenye maisha yetu kupitia hili bandiko
Asante mleta uzi
Nisingeweza mkuu yaani niache kulala Bunju kwenye ghorofa langu nikalale vitani huko porini.....haiwezekaniHahahhaa Mkuu hujanisoma, nlimaanisha je ungeweza kujitoa kafara vitani kama huyo mjeshi au unachoweza ni "mikwara" tu.
Alimtusi General wa uingereza Field Marshal Montgomery aliesimamia vikosi vya majeshi washirika, ya kwamba hana "sifa" wala "ueledi" wa kumpa medali ya heshima...... Hivyo ni kupitia bifu hili nafkiri ndio maana hakupanda cheo maana alionyesha kutokuwa mtiifu kwake. Ila bado sijafahamu walimvuruga nini hadi amtusi kiasi hicho!! Labda wajuzi watusaidie chanzo cha bifu la hawa jamaaDuuh,huyo jamaa noma
Kuna muvi kadhaa nimezicheck zikielezea mission zake aiseee jamaa yupo vzr.
Sasa mbona hakupandishwa cheo?
Mkuu nashukuru kama unafuatiliaga mada zangu ili tujikumbushe pamoja historia mbalimbali. Ni kweli muda mrefu sijaweka mada ila kuna moja hapa nimeweka jumapili unaweza pitia ukaweka maoni yako.Mkuu zitto junior Makala zako huwa zinanikoshaga sana long time aisee,hivi hujatupia tena post yako humu au ndo kusahau kunitag?
okay back to the topic,huyo Leo mgongo kuvunjika mara tatu si mchezo,plus visigino vyote viwili ,tuseme aliweza kutibiwa akapona kabisa na akaweza kusimama au ndo alikuwa anedeleza ushujaa akiwa anatambaa mkuu?
Ah okay sawa sawa sawa mkuu asante kwa maelezoMkuu nashukuru kama unafuatiliaga mada zangu ili tujikumbushe pamoja historia mbalimbali. Ni kweli muda mrefu sijaweka mada ila kuna moja hapa nimeweka jumapili unaweza pitia ukaweka maoni yako.
Uhusiano Kati ya Vyombo vya Habari na Intelijensia
Intelijensia inaelezwa kama taarifa za siri zinazokusanywa,kuchakatwa na kuchambuliwa ili kuwezesha serikali kuchukua maamuzi fulani ili kuongeza ufanisi. Umuhimu wa intelijensia haupimwi kwa uwezo wa wingi au usiri wa taarifa unaopatikana bali katika uwezo wa zile taarifa kupelekea maamuzi...www.jamiiforums.com
Back to topic, Leo Major anazungumziwa kwamba alipoumia alikua akitibiwa lakini kubwa zaidi licha ya kuwa alitoboka jicho kwenye mapambano ulaya magharibi alipaswa kuachishwa majukumu ya kijeshi maana alishakua mlemavu lakini kutokana na uzalendo wake uliotukuka aliforce kuendelea kupigana kwa mafanikio makubwa sana ndio maana alipewa hizo medali za juu zaidi za heshima jeshini.
Kiufupi huyu jamaa alikua kama ''Rambo'' au ''shoznigga'' kwenye movie...... Yaani jeshi la mtu mmoja.
Kwa hapa Afrika naweza mlinganisha na James Kabarebe alivyopambana kwenye operation Kitona hasa uvamizi wa Kinshasa na ule wa Angola. Ulikua zaidi ya movie