hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
Gaza bye bye
Leo mapema. Israeli wameingiza jeshi moja kwa moja kutwaa kipande cha Gaza kilichobakia.
Wametoa onyo kwa raia waondoke maeneo yote ya Gaza hadi eneo walilopangiwa lililo karibu na mpaka wa Misri. IDF wametangaza wakikukuta katika eneo ambalo unapaswa kuondoka watakuona ni adui (Hamas). Vifaru vyote vikiwa na bendera nyekundu kuashiria vita (hali ya hatari).
Raia wengi wameitikia wito huo na kuanza kuondoka haraka iwezekanavyo.
Nani alaumiwe? IDF au Hamas?