Shehe Abbas atakua nani sasa huko Palestina?Gaza bye bye
Leo mapema. Israeli wameingiza jeshi moja kwa moja kutwaa kipande cha Gaza kilichobakia.
Wametoa onyo kwa raia waondoke maeneo yote ya Gaza hadi eneo walilopangiwa lililo karibu na mpaka wa Misri. IDF wametangaza wakikukuta katika eneo ambalo unapaswa kuondoka watakuona ni adui (Hamas). Vifaru vyote vikiwa na bendera nyekundu kuashiria vita (hali ya hatari).
Raia wengi wameitikia wito huo na kuanza kuondoka haraka iwezekanavyo.
Nani alaumiwe? IDF au Hamas?
Wasimuue tu Shehe wa GazaSijui atakuwa nan
Abatizwe kwa jina la RobertShehe Abbas atakua nani sasa huko Palestina?
Mashabiki Zake hapa Buza kwa Rulenge sijui itakuaje Swala ya Alfajiri keshoAbatizwe kwa jina la Robert
Anasema mkuu wa kikosi cha Gaza wa zaman, Netanyau anatafuta ushindi lakini ushindi hapatiGaza bye bye
Leo mapema. Israeli wameingiza jeshi moja kwa moja kutwaa kipande cha Gaza kilichobakia.
Wametoa onyo kwa raia waondoke maeneo yote ya Gaza hadi eneo walilopangiwa lililo karibu na mpaka wa Misri. IDF wametangaza wakikukuta katika eneo ambalo unapaswa kuondoka watakuona ni adui (Hamas). Vifaru vyote vikiwa na bendera nyekundu kuashiria vita (hali ya hatari).
Raia wengi wameitikia wito huo na kuanza kuondoka haraka iwezekanavyo.
Nani alaumiwe? IDF au Hamas?
Afunge mdomo haraka sanaAnasema mkuu wa kikosi cha Gaza wa zaman, Netanyau anatafuta ushindi lakini ushindi hapati
View: https://youtube.com/shorts/TpDRJ5HVZoc?si=M_m9qCm8FqW6bj2J
HamasGaza bye bye
Leo mapema. Israeli wameingiza jeshi moja kwa moja kutwaa kipande cha Gaza kilichobakia.
Wametoa onyo kwa raia waondoke maeneo yote ya Gaza hadi eneo walilopangiwa lililo karibu na mpaka wa Misri. IDF wametangaza wakikukuta katika eneo ambalo unapaswa kuondoka watakuona ni adui (Hamas). Vifaru vyote vikiwa na bendera nyekundu kuashiria vita (hali ya hatari).
Raia wengi wameitikia wito huo na kuanza kuondoka haraka iwezekanavyo.
Nani alaumiwe? IDF au Hamas?
Madina, SaudiaKwa hiyo Wapalestina wataenda wapi
Huyo Shetanyahu akili zake kama zako hajui hakuna silaha inaweza kushinda Iman. Endelea kujitekenya Gaza itabaki kuwa Gaza sehemu wanapo zaliwa mashujaaAfunge mdomo haraka sana
Vipi wavamizi dalili zako ziko wapi au yule Mungu wenu wa taifa peke ndio kawambia vile kama vile sawaWapalestina ni wavamizi lazima waondolewe ,sawa sawa na Neno la Mungu
Quran yenu kipindi Mudy anapewa Wahayi na kina Padre Waraq,hakikuwa na Taifa la Palestine hivo mudy asingeweza kudanganya ,Vipi wavamizi dalili zako ziko wapi au yule Mungu wenu wa taifa peke ndio kawambia vile kama vile sawa
Hivi wale wanamgambo wa HAMAS wako wapi?Gaza bye bye
Leo mapema. Israeli wameingiza jeshi moja kwa moja kutwaa kipande cha Gaza kilichobakia.
Wametoa onyo kwa raia waondoke maeneo yote ya Gaza hadi eneo walilopangiwa lililo karibu na mpaka wa Misri. IDF wametangaza wakikukuta katika eneo ambalo unapaswa kuondoka watakuona ni adui (Hamas). Vifaru vyote vikiwa na bendera nyekundu kuashiria vita (hali ya hatari).
Raia wengi wameitikia wito huo na kuanza kuondoka haraka iwezekanavyo.
Nani alaumiwe? IDF au Hamas?
dogo Mungu wa Qur’ani ulisema si Mungu wa Israel au sio wewe sa mbona leo unamthibitisha pia Mungu wao.Quran yenu kipindi Mudy anapewa Wahayi na kina Padre Waraq,hakikuwa na Taifa la Palestine hivo mudy asingeweza kudanganya ,
WAPALESTINA NI WAVAMIZI KWA MUJIBU WA QURAN
Qur’an inataja wazi kuwa ardhi takatifu (Ardhi ya Kanaani) ilipewa kwa Waisraeli (wana wa Israel). Kuna aya kadhaa zinazolitaja hilo
Qur’an 5:20–21
Na Musa akawaambia watu wake
“Enyi watu wangu! Kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu, alipowafanya manabii miongoni mwenu, na akakufanyeni wafalme, na akakupeni msichopewa yeyote katika walimwengu. Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuwekeeni, wala msirudi nyuma, msije mkageuka wakhasiri.”
Qur’an 17:104
Na baada ya Firauni, tukawaambia Wana wa Israel: “Kaeni katika ardhi; na utakapokuja ahadi ya Akhera, tutawakusanya pamoja.”
Qur’an inakiri kuwa Mwenyezi Mungu aliwapa Waisraeli ardhi hiyo kama urithi.
Musa aliwahimiza watu wake waingie katika Ardhi Takatifu ambayo tayari imewekwa kwa ajili yao.
Hakuna popote pale Quran inawataja Wapalestina, au waislamu wapewe Ardhi ya Israel
Gaza watachapwa sana ,kwasasa imebaki asilimia kubwa ,Wana wa Yakobo warudishe Ardhi Yao yote iliyoporwa na Wahuni wakipalestina
WAPALESTINA NI WAVAMIZI