Leo: Mashabiki wa Simba wapokea kombe jiji Dar

Mzee wa Mtaa

Member
Joined
May 29, 2019
Posts
37
Reaction score
77
Tanzania Football inawashabiki wengi sana na tena hatari.
Sijaju Kenya ushabiki wa mpira uko vipi.







 
Majuzi hapa Gor Mahia na wenyewe walichukua ubingwa wa Kenya. Mwenye picha zao aweke tuone vibe lao
 
Ondoeni huo upupu hapa, mpeleke kwenye jukwaa la michezo, hehehehe inauma maana mimi shabiki wa watoto wa Jangwani japo Mkenya, hapo ina maana Dar leo watu hawalali kwanza kule uswazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…