S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,921 Reaction score 4,858 Dec 17, 2023 #21 Skudu alifanyiwa rafu mbaya ngao ya jamii ilikuwa inatishia kumsimamisha kabisa kucheza. Kuanzia mechi ya simba ameanza kurudi Kwenye ubora wake .
Skudu alifanyiwa rafu mbaya ngao ya jamii ilikuwa inatishia kumsimamisha kabisa kucheza. Kuanzia mechi ya simba ameanza kurudi Kwenye ubora wake .