Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
wakongo wanasema "balya ngwena baseka, balya muntu balela!" mtu akila mamba ni furaha lakini mamba akila mtu ni kilio...Wasubiri cha moto 2024
katibu mkuu wa zamani wa oau .Walitunga sheria ya uhujumu uchumi kwa shangwe ikaja kuwaweka ndani Tena bila Haki yakusikilizwa wakaporwa fedha na kunyamazishwa kisiasa.
Wakatunga POTA wakiamini inalenga magaidi kumbe inaweza kuwalenga hata ambao siyo Magaidi kama ilivyo kwa Mbowe leo hii.
Naamini Mbowe ametangulia ili kufungua milango kwa Wana CCM wenye maono au wenye nia yakutafuta Haki au madaraka. Kwa yeyote Mwenye nguvu na maono kinyume na mwenyekiti wa CCM ajiandae kuwa Gaidi au muhujumu uchumi.
Hii nyama ya binadamu imeashakuwa kali hawataacha kuila.
Mbowe akifungwa nitafanya sherehe kubwa kubwa sana watu wale na kunywa siku tatu tatuWalitunga sheria ya uhujumu uchumi kwa shangwe ikaja kuwaweka ndani Tena bila Haki yakusikilizwa wakaporwa fedha na kunyamazishwa kisiasa.
Wakatunga POTA wakiamini inalenga magaidi kumbe inaweza kuwalenga hata ambao siyo Magaidi kama ilivyo kwa Mbowe leo hii.
Naamini Mbowe ametangulia ili kufungua milango kwa Wana CCM wenye maono au wenye nia yakutafuta Haki au madaraka. Kwa yeyote Mwenye nguvu na maono kinyume na mwenyekiti wa CCM ajiandae kuwa Gaidi au muhujumu uchumi.
Hii nyama ya binadamu imeashakuwa kali hawataacha kuila.
π π πwakongo wanasema "balya ngwena baseka, balya muntu balela!" mtu akila mamba ni furaha lakini mamba akila mtu ni kilio...
Punde si punde wataanza kukulana wao kwa wao.