RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 129
- 473
MBOWE wa CHADEMA ametangaza kuendelea kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa CHADEMA.
Najaribu kujiuliza...
(1) Je, akikabidhiwa na wananchi kiti cha urais wa JMT kupitia chama chake atakubali kung'ooka ili kuwapisha wenzake?
(2) Je, kuanzia leo ni vibaya kama MBOWE tutampa jina la DIKTETA wa CHADEMA?
Mtu mwenye tamaa mbaya anapimwa kwenye kitu kidogo. Leo MBOWE wa CHADEMA a.k.a KING'ANG'ANIZI amewadhihirishia watanzania kuwa yeye au pamoja na viongozi wenzake wa CHADEMA ni waroho wa madaraka, na wanatamani kuingia madarakani kwa sababu ya maslahi yao binafsi.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM