Leo Messi, Mo Salah na Sadio Mane kuna mchezaji bora wa Dunia

Leo Messi, Mo Salah na Sadio Mane kuna mchezaji bora wa Dunia

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Hakuna ubishi kati ya hao jamaa watatu mmoja atatwaa uchezaji bora wa dunia, lakini Leo Messi ana nafasi kubwa zaidi hadi sasa.

Mo Salah atatwaa iwapo tu liverpool itakuwa klabu bingwa ulaya na misri kutwaa AfCon huku naye akiwa kikosini.

Sadio Mane atakuwa mchezaji bora wa dunia iwapo Liverpool itakuwa klabu bingwa Ulaya na Senegal ikitwaa AfCon huku na yeye akiwa kikosini.

Messi akitwaa la liga tu huku Sadio na Mo wakishindwa kutwaa UCL na AfCon kwa pamoja basi Messi atakuwa mchezaji bora wa dunia
 
Mo salah was a one season wonder player

Hata kwenye kinyanganyiro cha mchezaji bora wa Epl msimu huu hayupo
 
Salah wanammaliza taratibu kisaikolojia..tuzo haiwezi kwenda kwa mwarabu au mwafrika wakati kuna mzungu mwenzao Messi na maajabu anayofanya yanaonekana..

Kama Liverpool atabeba uefa na asipopewa Mane basi utakuwa ni mpango wao wenyewe. Ila kama Barca akibeba Messi atastahili..
 
Umesahau kua George Weah alishakua mchezaji bora wa dunia mbele ya wachezaji nyota wa kipind hicho kama Romario na Rebeto Bagio. Zenedine Zedan ni mwarabu lkn ni moja ya wachezaji wanaoheshimiwa ulaya na dunia kwa ujumla.
 
Hata iweje messi anabeba Ballon d Or...kuna kitu watu mnasahau mafanikio ya timu pekee hayakupi ballon d Or...
 
hata kama liverpool tutamtoa barca,bado mchezaji bora atakuwa messi.

1.Messi L.Barcelona103
2.Lewandowski R.Bayern Munich80
3.Tadic D.Ajax64
4.Marega M.FC Porto62
4.Ronaldo C.Juventus62
6.Aguero S.Manchester City61
7.Dzeko E.AS Roma54
8.Sterling R.Manchester City52
9.Kane H.Tottenham51
9.Kramaric A.Hoffenheim51
9.NeymarParis SG51
12.Dybala P.Juventus50
13.Sane L.Manchester City45
14.Mbappe K.Paris SG44
15.Griezmann A.Atl. Madrid43
16.Benzema K.Real Madrid42
16.Salah M.Liverpool42
18.Firmino R.Liverpool41
18.Mane S.Liverpool41

Hakuna ubishi kati ya hao jamaa watatu mmoja atatwaa uchezaji bora wa dunia, lakini Leo Messi ana nafasi kubwa zaidi hadi sasa.

Mo Salah atatwaa iwapo tu liverpool itakuwa klabu bingwa ulaya na misri kutwaa AfCon huku naye akiwa kikosini.

Sadio Mane atakuwa mchezaji bora wa dunia iwapo Liverpool itakuwa klabu bingwa Ulaya na Senegal ikitwaa AfCon huku na yeye akiwa kikosini.

Messi akitwaa la liga tu huku Sadio na Mo wakishindwa kutwaa UCL na AfCon kwa pamoja basi Messi atakuwa mchezaji bora wa dunia
Hakuna Wa kumshinda Messi duniani hii
 
hata kama liverpool tutamtoa barca,bado mchezaji bora atakuwa messi.

1.Messi L.Barcelona103
2.Lewandowski R.Bayern Munich80
3.Tadic D.Ajax64
4.Marega M.FC Porto62
4.Ronaldo C.Juventus62
6.Aguero S.Manchester City61
7.Dzeko E.AS Roma54
8.Sterling R.Manchester City52
9.Kane H.Tottenham51
9.Kramaric A.Hoffenheim51
9.NeymarParis SG51
12.Dybala P.Juventus50
13.Sane L.Manchester City45
14.Mbappe K.Paris SG44
15.Griezmann A.Atl. Madrid43
16.Benzema K.Real Madrid42
16.Salah M.Liverpool42
18.Firmino R.Liverpool41
18.Mane S.Liverpool41
Bila shaka hujui tofauti kati ya Mchezaji bora na mfungaji bora!!!
 
But Liverpool wakibeba UEFA basi Sadio Mane Or Salah kati yao atabeba Ballon D'ior
 
Back
Top Bottom