Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Hakuna ubishi kati ya hao jamaa watatu mmoja atatwaa uchezaji bora wa dunia, lakini Leo Messi ana nafasi kubwa zaidi hadi sasa.
Mo Salah atatwaa iwapo tu liverpool itakuwa klabu bingwa ulaya na misri kutwaa AfCon huku naye akiwa kikosini.
Sadio Mane atakuwa mchezaji bora wa dunia iwapo Liverpool itakuwa klabu bingwa Ulaya na Senegal ikitwaa AfCon huku na yeye akiwa kikosini.
Messi akitwaa la liga tu huku Sadio na Mo wakishindwa kutwaa UCL na AfCon kwa pamoja basi Messi atakuwa mchezaji bora wa dunia