Umesahau kua George Weah alishakua mchezaji bora wa dunia mbele ya wachezaji nyota wa kipind hicho kama Romario na Rebeto Bagio. Zenedine Zedan ni mwarabu lkn ni moja ya wachezaji wanaoheshimiwa ulaya na dunia kwa ujumla.Salah wanammaliza taratibu kisaikolojia..tuzo haiwezi kwenda kwa mwarabu au mwafrika wakati kuna mzungu mwenzao Messi na maajabu anayofanya yanaonekana..
Kama Liverpool atabeba uefa na asipopewa Mane basi utakuwa ni mpango wao wenyewe. Ila kama Barca akibeba Messi atastahili..
..kwan messi anasemaje kuhusu hizo tuzo
|
Hakuna Wa kumshinda Messi duniani hiiHakuna ubishi kati ya hao jamaa watatu mmoja atatwaa uchezaji bora wa dunia, lakini Leo Messi ana nafasi kubwa zaidi hadi sasa.
Mo Salah atatwaa iwapo tu liverpool itakuwa klabu bingwa ulaya na misri kutwaa AfCon huku naye akiwa kikosini.
Sadio Mane atakuwa mchezaji bora wa dunia iwapo Liverpool itakuwa klabu bingwa Ulaya na Senegal ikitwaa AfCon huku na yeye akiwa kikosini.
Messi akitwaa la liga tu huku Sadio na Mo wakishindwa kutwaa UCL na AfCon kwa pamoja basi Messi atakuwa mchezaji bora wa dunia
I wish Mane abebe
Nani top scorer tuanze hapo kwMo salah was a one season wonder player
Hata kwenye kinyanganyiro cha mchezaji bora wa Epl msimu huu hayupo
Bila shaka hujui tofauti kati ya Mchezaji bora na mfungaji bora!!!hata kama liverpool tutamtoa barca,bado mchezaji bora atakuwa messi.
1. Messi L. Barcelona 10 3 2. Lewandowski R. Bayern Munich 8 0 3. Tadic D. Ajax 6 4 4. Marega M. FC Porto 6 2 4. Ronaldo C. Juventus 6 2 6. Aguero S. Manchester City 6 1 7. Dzeko E. AS Roma 5 4 8. Sterling R. Manchester City 5 2 9. Kane H. Tottenham 5 1 9. Kramaric A. Hoffenheim 5 1 9. Neymar Paris SG 5 1 12. Dybala P. Juventus 5 0 13. Sane L. Manchester City 4 5 14. Mbappe K. Paris SG 4 4 15. Griezmann A. Atl. Madrid 4 3 16. Benzema K. Real Madrid 4 2 16. Salah M. Liverpool 4 2 18. Firmino R. Liverpool 4 1 18. Mane S. Liverpool 4 1