The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
😂labda bodaSasa hiyo bolt inapaa??..
Bolt ina mabawa?Kama unakuja mjini posta , daaa Leo ni huzuni Kuna foleni sio poa, gari hazitembei..
Kama umechelewa kazini, park gari lako request bolt uwahi ofisini
Hivi kuna bolt ya boda bodaboda?Sasa hiyo bolt inapaa??..
Yes mbona tele. Hata mimi nimetoka kuirequest si muda.Hivi kuna bolt ya boda bodaboda?
Mke wangu DemiBolt ina mabawa?
Naomba app yao, unajua mimi na bodaboda haziivi hu ni mwaka wa tatu sijawahi kupandaYes mbona tele. Hata mimi nimetoka kuirequest si muda.
tafuta google play au appstore search boltNaomba app yao, unajua mimi na bodaboda haziivi hu ni mwaka wa tatu sijawahi kupanda
Nilisha ipate mkuu pia ahsantetafuta google play au appstore search bolt
YesHivi kuna bolt ya boda bodaboda?
Piki pikiSasa hiyo bolt inapaa??..
Hawa ni watu wawili tofauti kumbe?
bolt itapita wapi kama kuna foleni,si bora bodaKama unakuja mjini posta , daaa Leo ni huzuni Kuna foleni sio poa, gari hazitembei..
Kama umechelewa kazini, park gari lako request bolt uwahi ofisini
Pongezi kwa awamu ya tano, mitano tena!Kama unakuja mjini posta , daaa Leo ni huzuni Kuna foleni sio poa, gari hazitembei..
Kama umechelewa kazini, park gari lako request bolt uwahi ofisini
Bolt kuna gari, kuna boda boda, kuna bajaj, ni uchaguzi wako unataka kipi kwenye app ya bolt. Na ni cheap tu kurequst bodaboda kupitia bolt maana huna haja ya kuanza bishana bei na dereva bodabolt itapita wapi kama kuna foleni,si bora boda