Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Mie nimebaki nashangaa tu rafiki. Kama anavigoogle anajua mwenyewe nini anaandika sababu mi sivielewi hata ujue.

Na sidhani kama ni kweli mke wake anapika hiko chakula.
Ni mke wangu anapika
 
Huo mchanganyiko mwenyewe mgeni mafuta kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…