Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Duuh ndo makorokocho gani hayo jamani? Pole mkuu mkeo kupika ana F yaaani zeeerrrooooo

Kwanza raha ya mayai uyagonge, ukoroge then ndo utie kwenye nyanya hadi yakauke vizuurii!

Sasa hapo unakulaje yai limesimama ivo? Mimi sijaelewa kwa kweli[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mmmmhhhh!!!!!!
 
hongera mkuu,usiwasikilize wanaoponda chakula cha wife wako,mafuta mengi,mayai mengi nk ndio swaga unazozipenda ndio maana umekuja hadi kumsifia ina maana unakikubali chakula chake,na yeye kakupikia hivyo anajua mme wake ndio unapenda so enjoy mkuu msosi murua
 
Hiyo mijimafuta yote we chekelea tu...baadaye utakuja humu mke wangu kaniua kwa mafuta kupita kiasi kwenye msosi
 
hongera mkuu,usiwasikilize wanaoponda chakula cha wife wako,mafuta mengi,mayai mengi nk ndio swaga unazozipenda ndio maana umekuja hadi kumsifia ina maana unakikubali chakula chake,na yeye kakupikia hivyo anajua mme wake ndio unapenda so enjoy mkuu msosi murua
Hapana kwa kweli, sio kwa tokolo hilo analopikiwa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Huyo hakutakii mema, anataka unenepeane upate magonjwa mpaka "shughuli" ushindwe, mafuta mengi sana ndugu..duh
 
Hapana kwa kweli, sio kwa tokolo hilo analopikiwa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
ndio maana mkiendaga kul kiepe wengine wanasema zege likauke,wengine lisikauke sana,wengine nataka nyama ya kiti moto maana ina mafuta sana,wengine usiweke ya mafuta,wengine nyama choma ikauke sana,au mi michuzi sitaki nk,so na yeye ndio chaguo lake,hivi una habari kuna wanawake hawajui hata kuchemsha maji jikoni sasa huyo mkewe anajua kupika labda atamwambia tu punguza mafuta kidogo nk
 
Hongera mkeo anajua kupika ameona ulainishe vyuma umekuwa gari kunywa mafuta/oil. Usije shangaa siku kakupikia chips kakuwekea zikielea kwenye mafuta
 
ndio maana mkiendaga kul kiepe wengine wanasema zege likauke,wengine lisikauke sana,wengine nataka nyama ya kiti moto maana ina mafuta sana,wengine usiweke ya mafuta,wengine nyama choma ikauke sana,au mi michuzi sitaki nk,so na yeye ndio chaguo lake,hivi una habari kuna wanawake hawajui hata kuchemsha maji jikoni sasa huyo mkewe anajua kupika labda atamwambia tu punguza mafuta kidogo nk
Sawa nimekuelewa! Kila mtu anakipenda anachokipenda! Ila sidhani kama kuna mtu anapenda msosi mbaya!

Hapo wifi apunguze mafuta na ajifunze kupika pia ila kakaetu azidi kunogewa!
 
Back
Top Bottom