Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Unamcheka wewe wajua?Hahahaaa! Kitu shatashata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamcheka wewe wajua?Hahahaaa! Kitu shatashata.
Safi sana ni uamuzi mzuriWe acha tu ila nampenda Sana mke wangu siwezi kumuacha kisa hajui kupika
Sina mashaka na upishi wako espyHahahaaa! Kitu shatashata.
Ila alikuwa na idea njemaKaweka tena na miyai yake ya kusimama? [emoji3] [emoji3]
Sijamcheka, nimefurahi alivyopika kitu shatashata. Mie najua kupika chai ya rangi kaka yangu.Unamcheka wewe wajua?
Kumbe chai nayo inapikwa.Sijamcheka, nimefurahi alivyopika kitu shatashata. Mie najua kupika chai ya rangi kaka yangu.
Ndio, we ulijua inakaangwa?Kumbe chai nayo inapikwa.
Ukuje nikufundishe mapishi yoteKupika kulishanishinda, nimewaachia wajuvi.
Mbona huo msosi kama full wese?Sijamwambia kama hajui kupika ila nimemtafutia mwalimu wa mapishi kwa gia kwamba akaongeze ujuzi zaid katika mapishiView attachment 752106
Afadhali nimepata mwalimu, ila kichwa changu kigumu hivyo itabidi uende taratibu mno.Ukuje nikufundishe mapishi yote
Nilijua inachemshwa... Mbona una majibu mabaya hivyo una mimba ndgo au?Ndio, we ulijua inakaangwa?