Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Nimejifungua muda sio mrefu.

Hivi kupika ni kufanyaje?
Ni maandalizi ya chakula hasa michanganyiko tofauti tofauti.

Au wewe unajua hata kuchemsha maji ya kuoga ni kupika?
 
Wakiwa kwenye courtship huwa wanajua sana kupika; ngoja ajaliwe watoto wawili husahau kila kitu
 
Yan inakuwaje mwanamke hadi unaolewa hujui kupika? That's so unfair maana mnawatesa waume zenu nyambaaafuu nyiee msiojua kupika
Kosa LA muoaji kwa nini aoe mwanamke asiyejua kupika.....kipindi chote cha uchumba kwa nn hakumpa test ya mapishi........ndo mkome kuoa wadada waliokulia bwenini ....siye tulosoma kayumba school darasa la tatu unakua umeshajua kupika vitu vingi
 
Back
Top Bottom