Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo upishi . Nomaaa sanaa
 
Ukiona hivyo huyo sio mke wako ni wa jamaa mwingine; Unganisha akili na Keyboard mkuu
 
We acha kabisa ,[emoji23][emoji23] ,mie wameniweza kwenye jollof rice tuu

Nimepika jana 🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_2854.JPG
leo wamemalizia nimebakishiwa ukoko 🤣🤣🤣
 
Huwa nakichukia chakula chakupika hata mke wangu kwa sababu ya mafuta mengi ,hawa viumbe hata uwaelekeze vipi hawaelewagi.
 
Khaa nisivyopenda mafuta mengi najisikia mpaka kuvomit[emoji852]
 
Back
Top Bottom