FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
We ndiye mjinga, kuweni wastaarabu, hii ni sehemu ya umma, mjitahidi aiseeJing* sana hili jamaa. Linaumia utadhani hapo ni nyumbani kwake Kolomije! Wakati wafanyabiashara humo ndani wakafurahia kufanya biashara.
Nimaeneo gani kwani yanastahili kuwa machafuTaka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
Sasa kiongozi sisi tutajuaje kama hakuna picha!??Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
Ndani ya shimo la chooNimaeneo gani kwani yanastahili kuwa machafu
... kwani hapakuwa na NAKUMAT? Hapakuwa na mall nyingine kubwa pale Nyerere Rd. baada ya Kiwanda cha Sigara kama unaelekea mjini? Hizo zote ziliishia wapi? Awamu ya 5!Tatizo la waekezaji...
Wameweka Mlimani City moja tuu miaka yote hiyoo...
Hivi hakuna muwekezaji anayetaka liwekeza Moli huku Mbagala kwetu ili sikukuu tuache kwenda kuwachafulia Moli yao....
Halafu muwekezaji mwingine awekeze swimming puli kubwaaa hukuhuku Mbagala tuache kwenda coco bichi kubakwa na wakodisha matairi khaa....!
Wawekezaji tafadhali mkuje Mbagala.
Mungu tu akuongoze maana chuki zako za dini ndio sababu ya hii post. Je una uhakika walikuepo hapo 100% ni waislamTaka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyojhovyo...
... kwani hapakuwa na NAKUMAT? Hapakuwa na mall nyingine kubwa pale Nyerere Rd. baada ya Kiwanda cha Sigara kama unaelekea mjini? Hizo zote ziliishia wapi? Awamu ya 5!
... nani mwekezaji wa maana atawekeza kwenye nchi ambayo haitabiriki kesho rais akiamka ataamua nini kuhusu uwekezaji? Awamu ya 5 imefumbua wengi macho.Muwekezaji anatakiwa aje awekeze Moli Mbagala sio Pugu Mall, ile ni ya watu wa Gongolamboto.
Atakuwa mfagiaji kesho anaona uvivu kuzoa takaKama wewe ni mfagiaji hapo rudi, chattle' braza'....waache watoto wafurahi sikukuu yao.
Ustaarabu ni siku zote, hata kama ni sikukuuHapo tatizo ni wewe na ushamba wako wa kwenda Mlimani City siku ya sikukuu, hapo utarudi tena mwakani... Hilo jambo la kawaida hasa idadi ya watu inapokua kubwa kuliko matarajio
Ila wewe utakuwa kocho unajionaFoleni ni mtihani mzito kwa hawa watu
Hiyo fani nakuachia weweIla wewe utakuwa kocho unajiona