Leonce jr JF-Expert Member Joined Oct 5, 2023 Posts 3,223 Reaction score 5,323 Aug 22, 2026 #2 Bora umeme nazani hautakstika tena nchi nzima🤣🤣 na vip ile tume ya uchunguzi iliyoundwa kuchunguza lile swala imeishia wapi wasitake kujua kuwa tumesahau??
Bora umeme nazani hautakstika tena nchi nzima🤣🤣 na vip ile tume ya uchunguzi iliyoundwa kuchunguza lile swala imeishia wapi wasitake kujua kuwa tumesahau??
MGOGOHALISI JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 4,555 Reaction score 6,773 Aug 22, 2026 #3 Bora upatikanaji wa umeme uongezeke kuliko kutokuwepo kabisa.
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Aug 22, 2026 #4 Umeme ukishuka bei nahama nchi!
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,840 Reaction score 8,202 Aug 22, 2026 Thread starter #5 Marcostilone said: Umeme ukishuka bei nahama nchi! Click to expand... Umejuaje hakuna jipya
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Aug 22, 2026 #6 MakinikiA said: Umejuaje hakuna jipya Click to expand... Unajua kusoma vizuri? Nimesema hakuna jipya kwenye hoja yangu? Jipya linaweza kuwepo lakini likawa halina manufaa yoyote.
MakinikiA said: Umejuaje hakuna jipya Click to expand... Unajua kusoma vizuri? Nimesema hakuna jipya kwenye hoja yangu? Jipya linaweza kuwepo lakini likawa halina manufaa yoyote.
M Mungik JF-Expert Member Joined Dec 16, 2020 Posts 1,147 Reaction score 1,808 Aug 22, 2026 #7 MakinikiA said: Umejuaje hakuna jipya Click to expand... Si kuangalia namna mtawala na mapenzi yake kwa anaowatawala inatosha kujuwa.
MakinikiA said: Umejuaje hakuna jipya Click to expand... Si kuangalia namna mtawala na mapenzi yake kwa anaowatawala inatosha kujuwa.