Leo na hamtamini, tena nje ndani

Leo na hamtamini, tena nje ndani

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Kwa wanaojua mpira vizuri Yanga ya sasa imebadilika Nyumbani wanaupiga mwingi ila ugenini wanaupiga mwingi zaidi,binafsi naona Mamelod watapigwa chuma kuanzia 2 mpaka 4 na hamtaamini.

Nawapongeza simba kwa mchezo mzuri,tutambue mpira si bahati ni tekiniki.
 
Yanga watashinda hii gemu Mamelodi akicheza sana anaweza kupata sare wakitafuta kuchomoa goli za Aziz key na Pacome.
 
Yanga watashinda hii gemu Mamelodi akicheza sana anaweza kupata sare wakitafuta kuchomoa goli za Aziz key na Pacome.
hapati hata hiyo draw sabau yanga anabebwa na statisticscs za kimataifa na ushindi wake ni mnono,simba udhaifu wake ni kutokana na historia yake ndiyo maana hatoboi ila yanga ni uhakika.

fainal ataenda kumkanda muarabu.
 
Back
Top Bottom