Inakuwaje wanajamvi!
Naombeni mniamini Fulham watashinda leo goli 1-0 dhidi ya Man City. Na kesho wabahatishaji Arsenal watagongwa 2-0 na Manchester United.
Jumanne ManCity watafungwa 2-0 na Tottenham na mechi yao ya mwisho dhidi ya Westham watashindiliwa na nyundo 1-0 na Westham united.
Wabahatishaji Arsenal mechi yao ya mwisho kwenye ligi dhidi ya Everton watapigwa 2-0.
liverpool mechi zao mbili za mwisho dhidi ya Aston Villa na wolves watashinda na kutwaa ubingwa wa EPL.
Kwa iyo Manchester city na wabahatishaji Arsenal mechi zao zote watafungwa na hawatashinda wala kutoka draw.
Mechi ya Mancity na Fulham karibu inaanza baada ya robo saa navyoandika huu uzi.
LIVERPOOL FC BI BINGWA
Chaliifrancisco MAWEED Herzog MAWEED