Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Bangi ya migombani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu itakuwa hamjui Pep wa mwisho wa msimuMan City afungwe... Thubutuuuuuu
Itakuwa ameanza kumfahamu pep akiwa man city pekee huku jamaa ndio maana hadi akapata nguvu za kuandika uzi.Pep huyu huyu? Unatania mkuu
Mnatabirigi ujinga! Umeona sasa! Man city hata likiishia hapo, Liverpool halikuti jana limepiga mtu 0-4Inakuwaje wanajamvi!
Naombeni mniamini Fulham watashinda leo goli 1-0 dhidi ya Man City. Na kesho wabahatishaji Arsenal watagongwa 2-0 na Manchester United.
Jumanne ManCity watafungwa 2-0 na Tottenham na mechi yao ya mwisho dhidi ya Westham watashindiliwa na nyundo 1-0 na Westham united.
Wabahatishaji Arsenal mechi yao ya mwisho kwenye ligi dhidi ya Everton watapigwa 2-0.
liverpool mechi zao mbili za mwisho dhidi ya Aston Villa na wolves watashinda na kutwaa ubingwa wa EPL.
Kwa iyo Manchester city na wabahatishaji Arsenal mechi zao zote watafungwa na hawatashinda wala kutoka draw.
Mechi ya Mancity na Fulham karibu inaanza baada ya robo saa navyoandika huu uzi.
LIVERPOOL FC BI BINGWA
Chaliifrancisco MAWEED Herzog MAWEED
Chukueni tu kwa kweli! Sisi kuna mahali tuliteleza na ndicho kimetugharimu! Tuliporuhusu kushikwa ndevu hata pale machinjioni tukawa tumeisha!Siku moja moja ufiche ujinga wako🤸
Man city kombe ni letu
Match ya pili mfululizo anapiga 3+ goals. Na mpaka ligi inaisha atatembeza vichapo sana. Jamaa atakuwa hamjui vyema kiparaItakuwa ameanza kumfahamu pep akiwa man city pekee huku jamaa ndio maana hadi akapata nguvu za kuandika uzi.
Afatilie vizuri pep mechi za kumaliza msimu kwa misimu minne sasa pale EPL hajapoteza na hatopoteza.