Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manchester United umempa Nini?Leo nimecheza kamari lakini Manchester United lakini naanza kujutia pesa yangu
Everton kanichania ,Everton pumbavu sana
Naomba nielekeze hiyo kamari inakuwaje? Mfano hiyo timu ikishindwa inakuwaje"? Na hiyo timu ikishinda inakuwaje?Leo nimecheza kamari lakini Manchester United lakini naanza kujutia pesa yangu
Na amefuta......Ha ha ha ha ha ha amenitoa kamaso masomo nasubiria ya Arsenal na Chelsea Arsenal afute uteja bana
Kucheza kamari ni dhambi kea Mungu! Na ndio maana unaliwa ela zakoLeo nimecheza kamari lakini Manchester United lakini naanza kujutia pesa yangu
Leo nimecheza kamari lakini Manchester United lakini naanza kujutia pesa yangu