Leo na mimi nime Bet nimempa Manchester United mbona najuta

Leo na mimi nime Bet nimempa Manchester United mbona najuta

Mbingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
411
Reaction score
230
Leo nimecheza kamari lakini Manchester United lakini naanza kujutia pesa yangu
 
Yani unajuta hata dakika 90 hazijaisha. Mpira dakika 90.
 
Hivi ni kweli kuna walimu wa mpira wa miguu? Ualimu wao huwa unaanzia wapi, wachezaji wakiwa watoto au wakubwa? Hivi na mpira wa miguu hufundishwa kama daras la kawaida kwa kuanza na a, e, i, o.... si kwamba ni vipaji vya wachezaji? Nataka kusema hivi, ukocha wa mpira wa miguu ni ngekewa, mtu anakuta ana wachezaji talented anapata sifa za bure! Mourinho!!!!!
 
Yani unajuta hata dakika 90 hazijaisha. Mpira dakika 90.
Ha ha ha ha ha ha amenitoa kamaso masomo nasubiria ya Arsenal na Chelsea Arsenal afute uteja bana
 
Ha ha ha ha ha ha Manchester United hiyoooooo
 
1.Munic ananichania mkeka.
2.Everton nae ananichania mkeka.
3.Man city anajikongoja,lakini muelekeo wake ni kunichania mkeka
 
Everton sijui kwa nini nilipata
 
Leo nimecheza kamari lakini Manchester United lakini naanza kujutia pesa yangu
Naomba nielekeze hiyo kamari inakuwaje? Mfano hiyo timu ikishindwa inakuwaje"? Na hiyo timu ikishinda inakuwaje?
 
man u. wapuuzi Sana mmeharibu mikeka ya watu
 
Back
Top Bottom